Magazeti ya leo 23/10/2017: Lukuvi aja na Bomoa bomoa mpya Dar,. Advance ya Makinikia kununua Bombadia nane,.. Familia ya Lissu yafunguka upya,.. Tanzanite One wasema wako tayari kwa makubaliano mapya,.. Ukawa watia neno magari ya Makonda,. ni wiki ya 4G Ligi kuu bara,.. Yanga wanyoosha njia ya Simba na kukwea nafasi ya pili.. #share

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search