Mwandishi Huyu Wa Habari Atishiwa Kuuawa..Watu Wasiojulikana Wamlima Ujumbe Mzito..Soma Habari Kamili na Matukio360..#share



ALIYEKUWA Mhariri Mtendaji wa Gazeti linalotoka kila siku la Tanzania Daima,Ansbert Ngurumo (Pichani) amesema maisha yake yapo hatarini baada ya kutishiwa kuuliwa na watu siojuliakana.


Ngurumo ambaye anasifika kuandika makala za kuikosoa vikali mwenendo wa serikali ya Rais John Magufuli  kupitia uchambuzi wa makala kwenye Magazeti ya Mwanahalisi,Mawio,Mseto,Raia Mwema ambapo Magazeti haya yamefungiwa na  serikali ya awamu ya tano ya  Rais  Magufuli kwa kile kinachoitwa na kuitwa na serikali hiyo kuwa Magazeti haya yamekiuka kanuni za uandishi wa habari.



Mwandishi huyo Mkongwe kwa sasa nchini amesema kwa maisha yako yapo hatarini baada ya kuikosoa Vikali  serikali ya Rais Magufuli kupitia kituo kimoja cha Tv kwa hatua yake ya kufungia magazeti kila uchwao
Amesema mara baada ya kutoa maoni yake kwenye kituo amekuwa akipokea vitisho kwa watu wasijulikana kutokana na kutoma maoni yake hayo kikatiba.
 .


Ngurumo.PNG



Kuibuka kwa taarifa kutoka Ngurumo ambaye aliwai kugombani Ubunge kuna kuja ikiwa bado serikali haijawatamata au kumshikiliza mtu yeyote aliyehusika na tukio la kumshambulia vibaya Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu lissu ambaye amelazwa Nairobi nchini kenya baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana alipotoka kwenye vikao vya bunge vilivyomalizika mkoani Dodoma

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search