Mitihani kidato cha pili, darasa la nne Novemba 24.. soma habari kamili na matukio360.. #share

Na Mwandishi wetu
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza  mitihani ya upimaji wa wanafunzi wa kidato cha pili na darasa la nne. Akitangaza mtihani huo leo Jumapili, Katibu Mtendaji, Charles Msonde amesema mtihani wa kidato cha pili utafanyika kuanzia  Novemba 24, 2017


Amesema wanafunzi 521,855 wa kidato cha pili wamesajiliwa kufanya mtihani huo. Amesema mtihani wa darasa la nne utafanyika kuanzia Novemba 22 hadi 23 2017 na wanafunzi 1,195,970 wamesajiliwa kufanya mtihani huo.

Bwana Msonde amesema maandalizi ya mitihani hiyo yamekamilika

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search