Jinsi upasuaji mkubwa wa upandikizaji na uvunaji mishipa ulivyofana JKCI.. soma habari kamili na matukio360.. #share
IJUMAA ya Novemba 10, 2017, itabakia kuwa siku ya kihistoria kwa sekta ya tiba nchini Tanzania baada ya TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kufanya upasuaji wa kurekebisha mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu za mwili kitaalamu huitwa (Aortic Aneurysm).
Upasuaji huo umefanyika kwa wagonjwa 15 ambao ni wa mara ya kwanza kufanyika hapa nchini umepunguza sh milioni 405 kwa serikali kwa kuwasafirisha nje ya nchi kwa matibabu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Daktari bingwa wa Upasuaji wa taasisi hiyo, Dk Bashiri Nyangasa amesema wamefanya upasuaji kwa kufungua kufua na kuvuna mshipa upande mmoja wa moyo na kuweka sehemu zilizoziba.
"Upasuaji ulifanyika ni wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CAG-Coronary Artery Bypass Grafting) na kubadili milango miwili hadi mitatu ya moyo, "amesema.
Amesema endapo upasuaji huo ungefanyika hapa nchini yangegharimu sh milioni 225 ambapo kwa mgonjwa mmoja angelipa sh milioni 15.
Amesema changamoto kubwa wanayoipata katika matibabu ya wagonjwa kufika mioyo yao kutokuwa katika hali nzuri.
Amesema matibabu ya moyo ni makubwa bana kubainisha kutoweza kufanya upasuaji mkubwa kama huo kutokana kutokana na changamoto ya vifaa.
"Upasuaji wa moyo huwezi kutibiwa si chini ya dola za marekani 5000 popote kwasababu ya vifaa na nchi zinazoendelea hakuna vifaa.
"Kwa upasuaji huu tusingeweza kuifanya kwa sababu ya vifaa lakini hawa madaktari wamefika na vifaa vya ona tumefanikiwa katika upasuaji hizo, "amesema.
Amesema kupitia kambi hiyo ya upasuaji wameongeza ujuzi kutoka kwa madaktari wenzao wa India kwa gharama rahisi.
Amesema kwa sasa wanajivunia kupunguza kuwafikisha wagonjwa NE ya nchi kwa matibabu kwa asilimia 90 kwani wangepeleka gharama zingekuwa kubwa kwa serikali.
Amewataka wananchi kujitokeza kuchangia damu katika vituo vya kutolea damu kwani inahitajika zaidi kwenye upasuaji hizo.
Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Usingizi JKCI, Dk Angela Muhozya amesema wamewashukuru madaktari hao kwa utanilaumu huo kwani kwao inhewachukua muda mrefu kujua.
"Wagonjwa wote waliofanyiwa upasuaji wanaendelea vizuri, tayari wamesharudi wodini na wachache wamesharudi wodini, "amesema.
Aidha mmoja wa wagonjwa aliyefanyiwa upasuaji wa kufungua kufua juzi,Anna Urasa amewashukuru madaktari hao hao kwa kuamponya kwani amezunguka sana big mafanikio.
" Nimezunguka sana lakini hapa madaktari wamenitibu, wametoa mishipa miguuni na kuniwekea kwenye moyo.. . Kama Kuna watanzania wengine wasiogope hadi sasa hivi naendelea vizuri na wa watapona kama mimi, "amesema.
Na Salha Mohamed

No comments:
Post a Comment