Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 12/11/2017: MADAI YA KULIPWA BIL.7 za likizo.. DCI apeleka kilio Utumishi, Fedha.. Siri imefichuka.. billionaire wa 'nyumba za Lugumi' amepanga kwenye chumba kimoja.. kodi 50,000/ kwa mwezi.. jangili adakwa na meno ya tembo gesti.. Nyalandu aanza kazi rasmi Chadema,.. Kijana aenda jela miaka 94 kwa kubaka,.. JPM, M7 waishukia ICC,.. Bodi ya Mikopo elimu ya juu yaingia 'matatani tena'.. DART maji ya shingo.. vigogo wafumbia macho.. Kichuya kuaga Simba.. Tshishimbi ashusha vifaa viwili Yanga.. soma yote na matukio360.. #share



























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search