Breaking: Vigogo ACACIA wajiuzulu.. soma taarifa kamili na matukio360... #share

 MTENDAJI MKUU WA ACACIA NA AFISA MKUU WA FEDHA WAJIUZULU


Mtendaji mkuu wa Kampuni ya uchimbaji dhahabu nchini ya Acacia, Brad Gordon ametangaza kujiuzuru nafasi hiyo kwa madai ya kurejea nyumbani kwao nchini Australia kuendelea na majukumu ya kifamilia.

Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, kutoka ndani ya ACACIA kimeimbia Matukio360 kuwa mbali na kiongozi huyo, naye Afisa mkuu wa Fedha, Andrew Wray, kwa nyakati tofauti wamewasilisha barua zao za kuitaarifa kampuni nia yao ya kujiuzuru nyadhifa walizonazo.

Bodi tayari imeshafanya uteuzi wa kuziba nafasi hizo.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

2 comments

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search