Habari katika picha: Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria ateta na wadau wa kimataifa...Soma habari kamili na Matukio360#share


Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma Bw. Griffin Mwakapeje (aliyesimama) akifafanua jambo katika kikao kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome na wadau wa kimataifa katika masuala ya sheria wakati wakibadilishana mawazo kuhusu sheria mbalimbali ikiwemo sheria ya ugaidi Tanzania.



 Baadhi ya washiriki wa majadiliano ya sheria mbalimbali nchini kati ya  Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome na wadau wa kimataifa katika masuala ya sheria .


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akisisitiza jambo kwa wadau wa kimataifa katika masuala ya sheria walipomtembelea leo (17/11/2017) ofisini kwake mjini Dodoma.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search