Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 17/11/2017: YAMETIMIA: Tanesco, Wizara wapewa siku 30.. Tanroads wasema jengo lote linaondoka.. Utajiri wa 'bilionea'wa Takukuru' wazidi kuanikwa.. Balozi aelezea alivyomsafirisha kijasusi Dk. Shika wa magorofa ya Lugumi.. Zimbabwe kwafukuta, Mugabe aligomea jeshi.. 40 'taabani' baada ya kula kiporo msibani.. mchujo wa mwisho CCM wanukia.. Yondani na Ajibu waifanyizia Simba.. Uwoya amlilia Ndikumana,.. na Chirwa amwaga minoti Jangwani.. soma yote na matukio360.. #share



About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search