Na mwandishi wetu
ALIYEKUWA mshauri mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Professa Kitila Mkumbo amejiunga rasmi CCM.
Akitoa taarifa hizo leo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata amesema Kitila ambaye kwa sasa ni katibu mkuu wizara maji na umwagiliaji amejiunga na CCM mkoani Singida
No comments:
Post a Comment