Lipumba abwagwa mahakamani...soma habari kamili na matukio360..#share

KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO:

Mbele ya Mheshimiwa Jaji Wilfred Dyansobera Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Lipumba na wenzake katika kesi ya RITA kuhusu Bodi ya Wadhamini.

Jaji ameeleza kuwa Mahakama imejiridhisha kuwa mapingamizi yote yaliyowasilishwa hayana nguvu za Kisheria.

Taarifa hiyo imetolewa na Mbarala Maharagande  NaibuMkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano na Umma
The Civic United Front (CUF

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search