Magazeti ya Leo 1/12/2017...soma magazeti na matukio360...#share
Nyoosha nyoosha ya JPM ikiendelea; Takukuru yawanyoosha vigogo,.. Nyavu za billion 292 zanaswa,.. TRA yapiga mnada mali za mabilionea.. Serikali yatoa neno biashara ya utumwa Libya.. utata watawala watoto 1,300 kutoweka Kibiti.. wafanyabiasha wa Madini wapigwa 'mvua' mmahakamani. na Katibu wa Bunge ahoji stahili za Tundu Lissu.. katika Michezo: Yanga yapata dawa ya Ngoma,.. Dili la Mo Simba limetiwa doa.. na katika Udaku: Hamisa Mobeto ambwaga Zari, Ze Boss Lady..





























No comments:
Post a Comment