Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 05/11/2017: MARA PAAAH!! Mawaziri wa zamani 'wamegeuka mabubu'.. Ikulu yamfunda Rais Magufuli,.. BOT yasema' shilingi iko salama'.. SMZ 'yafurahia' utendaji kazi wa JPM,.. 11 Chadema mbaroni,.. Yanga yabananishwa Singida.. Lwandamina ameaga Yanga,.. na Okwi, Kichuya wapokewa kifalme Mbeya.. soma yote na matukio360.. #share


























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search