Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 10/11/2017: TAJIRI MTATA 'alivyotikisa' mnada wa Mahekalu ya Bilionea Lugumi.. Spika Ndugai ataka wabunge wa CCM wafunguke.. Serikali 'wapotezea' wachunguzi wa Kimataifa sakata la shambulio la Tundu Lissu,.. Vigogo 'almasi' wakwaa kisiki,.. Kaswahili wa bilioni 7 nae atiwa mbaroni,.. JPM ataka waTz wachangamkie fursa bomba la mafuta Uganda,.. Mkwasa ajitosa kuinoa Yanga,.. Simba wasaka pacha wa Okwi.. mastraika Simba 'kila bao mil. 14/,.. Na ndoa feki na Dogo Janja Irene Uwoya aitwa polisi,.. soma yote na matukio360.. #share


























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search