Mwakyembe apiga 'stop' vibali BMT.. soma habari kamili na matukio360.. #share
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Habari, Michezo na Utamaduni, Dk Harrison Mwakyembe amepiga marufuku vibali vinavyotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kwa mabondia wanaoenda nje ya nchi kushiriki mchezo huo.
Amesema hayo alipotembelea mazoezi ya Ibrahim Class anaejiandaa kwa mchezo wa Kimataifa utakaochezwa kwenye uwanja wa Uhuru siku ya tarehe 25 mwezi huu na bondia kutoka Afrika ya Kusini.
Mwakyembe amesema tumechoka kuwa madaraja ya kuvukia wengine,niaibu kwa taifa na tasnia nzima ya ngumi.
"Niaibu kubwa sana mwezi huu tumetoa vibali vya Bondia 12,kati yao hakuna hata mmoja aliyeshinda" amesema
Hii ni kuchezeana akili kwa wanaojifanya eti ngumi ni biashara huria kila mara sisi ndio tuwe bidhaa duni.
Mwakyembe aliongeza kuwa yuko tayari kusaidia ngumi lakini anahitaji muda kidogo ili kuweka mifumo iliyosawia kutokana na mchezo huo kushikiriwa na wachache wanaoumiliki kama wao.
Mbali na hayo Waziri Mwakyembe amewataka watanzania kuja kumshangilia bondia wao Ibrahim Class kwa kuwa anauhakika hata waangusha.
Nimatumaini yangu kiingilio hakitakuwa tatizo
kwa hiyo watanzania tujae kama mechi ya Simba na Yanga.

No comments:
Post a Comment