Magazeti ya Sports & Hardnews leo 16/11/2017: JPM apeleka maumivu TANESCO.. aagiza ghorofa lao libomolewe.. mambo yawa magumu kwa Rais Mugabe.. Zuma amkingia kifua.. mhasibu 'bilionea' Takukuru ageuza kibao.. Dkt. Shika aanika kila kitu.. anamiliki utajiri wa kitisha.. 11 wafariki ajali ya ndege Ngorongoro.. mama Uwoya amlilia Ndikumana,.. Kichuya asema 178 itapendeza.. Tshishimbi nae aanika msimamo Yanga... Soma yote matukio360... #share





About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search