Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 18/11/2017: TAHARUKI: Vyeti feki vilivyokula Bilioni 50 za mabenki.. Mapokezi ya Odinga 'yaua watano' Nairobi.. Rais Mugabe bado king'ang'anizi Zimbabwe,.. utata wa Dkt. Shika waistua Serikali,.. Bombardier bado 'pasua kichwa' Canada.. Spika Ndugai aunda kamati mbili nyeti.. Lukuvi ashusha rungu kudhibiti wenye majumba wenye uchu wa kodi.. Okwi kufunika rekodi ya Kichuya Msimbazi,.. Bwalya aota mbawa Simba,.. na Irene Uwoya 'roho mkononi' Rwanda... Soma yote na matukio360.. #share







Ongeza kichwa





















About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search