Magazeti ya Sports & Hardnews leo 19/11/2017: ITAPENDEZA: Dkt. Shika alipia $100 mabilioni yake yaweze kuingia nchini.. Mapokezi ya Lowasa Arusha yatawaliwa na 'mioshi' ya mabomu.. Mstaafu wa Bil. 1. ataka kumuona JPM.. mambo yazidi kumuelemea Robert Mugabe... kigogo wa Polisi arudishwa kazini.. Serikali yawageuka wenye school buses' Uhamiaji yaja na mikakati mipya.. Simba yaanua rekodi 5 Mbeya.. iwe jua iwe mvua.. Yanga 'itapendeza' na Lulu amaliza masaa 48 gerezani.. soma yote na matukio360.. #share



























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search