Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 02/11/2017: Nyalandu awa gumzo kila kona.. CCM wamlamba kadi nyekundu.. yeye asema ni maamuzi magumu.. CCM v/s Chadema ni mtifuano mkali,.. masikini mama wa watu huyu.. 'wasiojulikana' wamchinja na kumkata miguu yote miwili,.. TAMISEMI yasitisha ajira mpya AFYA,.. TANROADS yatimua watumishi 71 kwa rushwa,.. Mbwana Samatta kuwania TUZO Africa,.. Mnijeria mpya Simba 'amwaga manyanga' kwa Okwi,.. na PADRE awalipua Uwoya na Ndikumana..#share

























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search