Majimaji yampa tuzo Waziri Makamba...Soma habari kamili na Matukio360..#share


Mwenyekiti kamati ya Ufundi, Stephen Mapunda kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti Stephen, Ngonyani na Shabiki wa timu​ ​hiyo​, ​ ​Vian​ ​Nchimbi. 



Viongozi wa timu ya Majimaji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi tuzo aalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu hiyo Stephen Ngonyani, Mwenyekiti Kamati ya Ufundi  Stephen Mapunda na shabiki wa timu hiyo Vian Nchimbi. 

Viongozi​ ​wa​ ​Timu​ ​ya​ ​Majimaji​ ​wakiwa​ ​Ofisi​ ​kwa​ ​Waziri​ ​Makamba.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search