TUME
ya Taifa ya Uchaguzi(Nec) imewateuwa madiwani wapya watatu wa viti maalum
kutoka Chadema.
Madiwani
hao ni Maimuna Mpogole halmashauri ya
Manispaa ya Iringa, Rehema Mbetwa halmshauri ya Manispaa ya Iringa na Anna
Mandary halmashauri ya Ngorongoro.
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment