OFISI ya Bunge imemuandikia rasmi barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Msaafu Semistocles Kaijage kumfahamisha kuwa Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Lazaro Nyalandu kufutwa uanachama na Chama cha Mapinduzi (CCM) Oktoba 30, 2017.
No comments:
Post a Comment