WIZARA ya Elimu na Teknolojia imekanusha kuitambua na kuwepo kwa taasisi inayojitambulisha kuwa ni taasisi ya msaada wa kijamii Tanzania(TSSF) iliyojitangaza kuhusika na utaoaji wa mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment