Jinsi maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) ilivyokuwa...soma habari kamili na matukio360..#share



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na mgeni rasmi katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kuingia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017.






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Wanawake  Waislaam Tanzania, Shamim Khan baada ya kushiriki Katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya  Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia washiriki wa Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya kushiriki Baraza hilo kwenye uwanja wa Shukle ya Msingi Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017.

Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati alipohutubia   kwenye uwanja wa  Shule ya Msingi ya Likangala wilayani   Ruangwa Desemba 1, 2017

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya (wapili kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa Wanawake Waislaam, Shamim Khan wakati alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala kushiriki katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad  (S.A.W). Mgeni rasmi katika Baraza hilo alikuwa ni Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na mgeni rasmi katika Baraza la Maulidi  ya Mtume Muhammad (S.A.W),Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,  Balozi Seif Ali  Iddi kwenye  uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Maulidi ya  Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika kwenye  uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Rungwa Desemba 1, 2017. Mgeni Rasmi katika Maulidi hayo alikuwa ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (wapili kushoto) na  baadhi ya Viongozi walioshiriki katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakimsikiliza Mgeni Rasmi Balozi Seif Ali Iddi wakati alipiwahutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Wanawake Waislaam Tanzania, Shamim Khan, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Alex  Ikupa, Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya na Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Muhammad Abdallah.

Askofu Mkuu, Bruno Ngonyani wa Jimbo Katoliki la Lindi akizungumza katika  Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad  (S.A.W) yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa, Desemba 1, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mgeni Rasmi katika Baraza la Maulidi  ya Mtume Muhammad (S.A.W),Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,  Balozi Seif Ali  Iddi  kwenye  uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani RUangwa Desemba 1, 2017. Kushoto ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubacary Zubeiry Ally.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search