Magazeti ya Leo 06/12/2017...soma magazeti na matukio360...#share
NI MTIKISIKO: Wamebainishwa Wabunge 9 kutoka U K A W A wanaohamia CCM.. Polisi Dar waua majambazi watatu.. Mwanafunzi UDSM akamatwa 'kwa kusambaza picha mpasuko Hosteli za JPM'.. Bomoabomoa ya mwendokasi yanukia Mbagala.. Mwinyi atinga Nairobi kwa Lissu,.. JPM asisitiza ajira 10,000 kwa Watanzania.. Siri ya Wema kurudi CCM yafichuka.. Wanafunzi 2,600 washinda rufaa Bodi ya Mikopo.. 'Simba More' yaja na kikosi cha Bilioni 1.. mwenyewe asema Itapendeza... Juuko atua mikononi mwa Yanga.. na Liverpool kukwaa kigogo FA Cup..
No comments:
Post a Comment