Magazeti ya leo 12/12/2017: Soma magazeti na matukio360.. #share

SIMANZI: Miili ya wanajeshi yawasili.. JWTZ wacharuka.. Kamati Kuu Ukawa wamweka Mbowe kikaangoni.. Babu Seya atoka jela na siri nzito.. Zitto asikitishwa.. Ukawa yalisusa Jimbo la Nyalandu.. Sadifa wa UVCCM akosa dhamana.. Askofu Katoliki ahojiwa uraia wake.. Straika mnaijeria kutua Simba.. Kocha wa Mbwana Samatta atimuliwa.. na Ngoma aanza Yanga na GYM.. 


















oandikwa







About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search