Magazeti ya leo 14/12/2017: Soma magazeti kupitia matukio360.com #share
MCHANA KWEUPE: Mganda anaswa na dola milioni 1 airport.. JPM aziweka kikaangoni taasisi za kifedha; aapa kuilinda shilingi ya Tanzania.. Lembeli amfunda Kigwangala; yeye alikoroga tena Zanzibari.. HUZUNI: wafungwa wa msamaha wa Rais wakuta wake zao wamekufa.. ITAPENDEZA: Simba, Yanga kuanza nyumbani CAF 2018; na MO Ibrahim afiwa na mtoto wake..
No comments:
Post a Comment