Magazeti ya leo 02/12/2017: Pata Uchambuzi wa kina kupitia matukio360.. #share
Wema aamua kurudi CCM; Polepole amkana.. asema si daladala.. Ziara ya JPM Bandari yamng'oa kigogo mwengine.. mtuhumiwa wa usagaji adakwa na Polisi.. aliwekewa 'figo mpya' Muhimbili aibua mazito.. Siri ya mwisho mauaji ya Kibiti; sakasaka ya watoto 1,300 imeanza.. katizo la umeme Tanesco wawekwa kikaangoni.. Simba yarejea enzi za 2003.. Yanga nayo yanasa straika 'kibabe'.. na katika Udaku: Penny 'wa Diamond' aibuka na kunena: "imeniuma sana kuambiwa nimeua"..
No comments:
Post a Comment