Wataalam EAC wakutana kujadili maendeleo...soma habari kamili na matukio360..#share
Na mwandishi wetu
MKUTANO wa kazi wa wakuu wa
nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu maendeleo ya miundombinu ya
uchukuzi, nishati na maendeleo ya sekta ya afya unaendelea mjini Kampala,
Uganda
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Joseph Nyamhanga, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Gerson Mdeme, Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba, Profesa Sifuni Mchome pamoja na Mkurugenzi wa Siasa na Usalama kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Steven Mbundi.
Katika mkutano huo makatibu
wakuu na wataalam wanaendelea na majadiliano ya masuala mbalimbali.
Baadaye leo, makatibu wakuu
wanatarajiwa kutia saini makubaliano yatakayoafikiwa.
Mkutano wa wataalam ukiendelea jijini Kampala, Uganda
No comments:
Post a Comment