Gavana mteule azungumza na waziri wa fedha... angalia picha na matukio360...#share


Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango (Mb) akiwa katika mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, akisaini kitabu cha wageni alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango (Mb), Jijini Dar es Salaam

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango)

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search