Kikwete atoa pole kifo mwandishi Athuman Khamis...soma habari kamili na matukio360...#share
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Dk . Ibrahim Msengi Ndugu wa Marehemu Athman Khamis Nyumbani
kwake Sinza kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba, Marehemu
amefariki ghafla usiku wa kuamkia jana kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili
baada ya kuugua ghafla na kulazwa hospitalini hapo kwa matibabu , Marehemu
Athman Khamis alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN
atazikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Dkt.. Jimmy Yonaz Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN
Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam
alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Bi. Tuma Abdallah Naibu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya
Serikali TSN Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es
salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na watoto wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es
salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na na Dk. Jimmy Yonaz Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali
TSN na ndugu wa marehemu Dkt Ibrahim Msengi Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis
Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mhuhidin Izssa Michuzi Mpiga Picha wa Rais nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiafamilia ndugu , na jamaa na marehemu wa Marehemu Athman Khamis Sinza
Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
No comments:
Post a Comment