Na mwandishi wetu, Dar es salaam RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli leo wamemjulia hali msanii mkongwe wa maigizo na vichekesho Amri Athumani maarufu 'King Majuto' aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam.
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment