RAIS John Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngambale
Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na
mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment