Magufuli ateuwa naibu waziri mpya...soma habari kamili na matukio360...#share
Na mwandishi wetu, Dar es salaam
RAIS John Magufuli leo amemteua Doto Mashaka Biteko kuwa naibu waziri wa Madini.
Mbunge wa Bukombe, Doto Mashaka Biteko
Kufuatia uteuzi huo wizara ya Madini inakuwa na manaibu waziri wawili. Uteuzi huo umezingatia wingi wa majukumu katika wizara hiyo.
Mbunge huyo wa Bukombe ataapishwa Jumatatu ya Januari 8, 2018

No comments:
Post a Comment