Magufuli ateta na Dk. Slaa...soma habari kamili na matukio360...#share

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS John Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule Dk. Wilbrod   Slaa Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais  John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search