Magufuli ateta na waziri wa Uganda...soma habari kamili na matukio360..#share
Rais John Magufuli akisalimiana na Mjumbe maalum wa Rais wa
Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam
Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais John Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mjumbe maalum
wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais John Magufuli akipokea Ujumbe Maalum uliotoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni na kuwasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais John Magufuli akiufungua na kuusoma Ujumbe huo maalum uliotoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni na kuwasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais John Magufuli akiagana na Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje kwa upande wa Tanzania Dk Augustine Mahiga Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment