Waziri Mwakyembe aunda kamati....soma habari kamili na matukio360..#share
Na mwandishi wetu, Dar es salaam
WAZIRI wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameunda kamati ya watu 11 itakayokusanya maoni, kupitia upya katiba na kuunda chombo kitakachosimamia mchezo wa ngumi za kulipwa nchini.
Wajumbe wa kamati ya kupitia upya katiba, kukusanya maoni na kuunda chombo kitachosimamia mchezo wa ngumi za kulipwa nchini.

No comments:
Post a Comment