Ajifanya muuguzi na kuiba mtoto mchanga hospitalini.....soma habari kamili na
Na mwandishi wetu,Mbeya.
POLISI mkoani Mbeya wanamsaka mwanamke aliyejifanya muuguzi na kuiba mtoto wa kike wa siku moja kwenye wodi ya wazazi katika Hospitali ya Mkoa , aliyezaliwa kwa njia ya upasuaji na Sarah Mwasanga(40) mkazi wa Iganzo jijini humo.

No comments:
Post a Comment