Jinsi Magufuli alivyoshiriki Ibada Chato...soma habari kamili na matukio360..#share

Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini wa kanisa hilo mara baada ya kukaribishwa na Padre Alex Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.
Rais Dk. John Pombe Magufuli
akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia
teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.
Rais Dk.
John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka kwa Padre Alex
Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani
(Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.
Rais Dk. John Pombe Magufuli
akimshukuru Padre Alex Bulandi baada ya kusalimia wakati wa Ibada ya misa
Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya
mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.
Waziri wa Nishati ambaye pia ni
Mbunge wa jimbo la Chato Medradi Kalemani akiwasalimia waumini wa kanisa wakati
wa Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani
(Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.
Rais Dk. John Pombe Magufuli
akiagana na Padre Alex Bulandi baada ya Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika
katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo
Wilayani Chato Geita.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiagana na
Waziri wa Nishati amabaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mhe.Medrad Kalemani
mara baada ya Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha
Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.
Rais
Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nishati amabaye pia ni Mbunge wa
Jimbo la Chato Mhe.Medrad Kalemani na viongozi wa kanisa hilo mara baada ya
Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani
(Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment