Kikosi cha Simba dhidi ya Gendamarie Tnale hiki hapa...soma habari kamili na matukio360...#share
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KOCHA Mkuu wa klabu ya Simba SC, Pierre Lechantre ametangaza kikosi ambacho kinaivaa jioni hii klabu ya Gendamarie Tnale kutoka Djibouti kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
KOCHA Mkuu wa klabu ya Simba SC, Pierre Lechantre ametangaza kikosi ambacho kinaivaa jioni hii klabu ya Gendamarie Tnale kutoka Djibouti kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katika mchezo huu Simba wanaingia wakiwa kama wenyeji ambao utachezwa kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Simba itaongozwa katika safu ya ushambuliaji na wachezaji wake muhimu John Bocco na Emmanuel Okwi wakitumia mfumo wao wa 3-5-2.
Kikosi kamili cha Simba SC kinachowavaa Gendarmerie.
Mchezo utachezwa majira ya saa 10:00 jioni na utaonesha mubashara na kituo cha Runinga cha Azam TWO.
No comments:
Post a Comment