Magufuli kuwatunuku kamisheni maafisa wapya JWTZ....soma habari kamili na matukio360....#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam

RAIS John Magufuli leo Februari 3, 2018 atawatunuku kamisheni maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.



Rais na Amir Jeshi Mkuu, Dk John Magufuli akiwa na mkuu wa majeshi mstaafu, Davis Mwamunyange

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search