WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla ametoa notisi ya siku 30 kwa waliovamia katika kiwanja chenye hati namba 4091 kilichopo Njiro Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamis Kigwangalla
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment