Hiki ndio kikosi kinachoikabili Algeria leo... soma habari kamili na matukio360...#share


Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Algeria, mchezo wa kirafiki

1-Aishi Manula
2-Shomary Kapombe
3-Gadiel Michael
4-Abdi Banda
5-Kelvin Yondani
6-Himid Mao
7-Saimon Msuva
8-Mudathir Yahya
9-Mbwana Samata
10-Said Ndemla
11-Shiza Kichuya

Kikosi cha akiba

-Ramadhan Kabwili
-Abdulrahman Mohamed
-Hassan Kessy
-Erasto Nyoni
-Abdulazizi Makame
-Mohamed Issa
-Feisal Salum
-Ibrahim Ajibu
-Shaaban Iddi
-Yahya Zayd
-Rashid Mandawa

Formation 4-3-3

>Mechi ya kirafiki kuchezwa katika dimba la Mustapha Tchaker Stadium, Algeria muda ni Saa 2:00 usiku mchezo utakuwa live ZBC 2.
kila ra heli Taifa star






About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search