Magufui atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 26...soma habari kamili na matukioo360...#share

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndekilo kufuatia vifo vya watu 26 vilivyotokea jana usiku baada ya basi dogo lililokuwa limebeba abiria kugongana na lori lililokuwa limebeba chumvi.



About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search