Magufuli ateta na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Millicom International Service LLC...soma habari kamili na matukio360...#share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mauricio Ramos
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Millicom International Service LLC (wanne kutoka
kushoto)ambayo inamiliki Kampuni ya simu ya Tigo aliyefika Ikulu pamoja na
ujumbe wake.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini
Ujerumani na Denmark Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa
Denmark Einar Hebogard Jensen aliyeongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini
Ujerumani na Denmark Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu mara baada ya
hafla fupi ya uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali
mstaafu Simon Marco Mumwi(kushoto) pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu (kulia) mara baada ya hafla fupi ya uapisho
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu
(hayupo pichani alipokuwa akizungumza) mara baada ya hafla fupi ya uapisho
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi mara baada ya Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali mstaafu
Simon Marco Mumwi kumaliza kuzungumza katika hafla fupi ya uapisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Balozi
mpya wa Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu akiwa katika picha na
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro(wa kwanza kulia)Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala wa kwanza kushoto, Mkuu wa Jeshi la
Magereza Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa(wapili kutoka kulia)
pamoja na viongozi wengine wa Jeshi la polisi mara baada ya hafla ya Uapisho
Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment