Antony Joshua amtwanga Joseph Parker kwa pointi...soma habari kamili na matukio360...#share

Na Mashirika ya Kimataifa

Usiku wa April 1 2018 mashabiki wa mchezo wa ngumi duniani walikuwa wanasubiria kwa hamu pambano la mabondia Anthony Joshua na Joseph Parker kupanda ulingoni kila mmoja akitarajiwa kulinda rekodi yake.
Antony Joshua

Bondia Anthony Joshua leo amefanikiwa kumpiga Joseph Parker kwa ‘Unanimous Decision’ hilo likiwa ni pambano lake la 21 kwa Athony Joshua kushinda kati ya mapambano yake 21 ila ni pambano lake la kwanza kushinda kwa point ila yote 20 yaliyosalia amekuwa akishinda kwa‘Knock Out’

Kwa upande wa Joseph Parker mwenye umri wa miaka 26 akizidiwa na Anthony Joshua miaka miwili, yeye anapoteza pambano lake la kwanza kati ya mapambano yake 25 akiwa kashinda 18 kwa Knock Out, 6 kwa point, Joshua anazidi kudhihirisha ubora wake katika mchezo huo baada ya ushindi huo kumpa Ubingwa wa WBO

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search