Jinsi Magereza Ukonga walivyosherehekea pasaka kwa bonanza...soma habari kamili na matukio360...#share

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba  Moshingi, akikagua timu ya mpira wa wavu wanaume ya Jeshi la Magereza Tanzania bara na Zanzibar  wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Pasaka, lililofanyika Ukonga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. Magereza Tanzania bara wamefunga 3-0




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search