TPB yaikabidhi TEF sh.milioni 2 maandalizi mkutano mkuu...soma habari kamili na matukio360...#share
Meneja
wa mawasiliano wa Benki ya TPB, Chichi Banda (kulia), akimkabidhi Mfano wa
hundi ya Sh.milioni 2 Kwa mratibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Anita
Kosuri, kwa ajili ya kusaidia maandalizi ya mkutano mkuu wa wahariri Tanzania
utakaofanyika hivikaribuni mkoani Morogoro. (Na Mpigapicha Wetu).
No comments:
Post a Comment