Sugu aachiwa huru...soma habari kamili na matukio360...#share


Na Mwandishi Wetu, Mbeya

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiwa huru kutoka Gereza Kuu la Ruanda mkoani Mbeya ambapo walikuwa wanatumikia kifungo cha miezi 5.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amethibitisha kuachiwa kwa Viongozi hao wawili na tayari Sugu ameshafika nyumbani kwake.

Wengine waliofika gerezani kumpokea ni Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji David Mwashilindi na madiwani, Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search