BREAKING NEWS !! UPANUZI WA RELI WAATHIRI KITUO CHA MAFUTA GAPCO!

SEHEMU YA KITUO CHA MAFUTA CHA GAPCO CHAPIGWA 'NYUNDO' ILI KUPISHA UJENZI WA RELI KWA KIWANGO CHA STANDARD GAUGE !! 


Endelea kutufuata kupitia www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com kwa tukio hili likikujia 'Mubashara' kwa msaada wa wadau mbalimbali.

Jionee picha za tinga-tinga likitekeleza shughuli ya bomoa-bomoa kwenye Sehemu ya Kituo cha Mafuta cha Gapco kilichopo karibu na kamata jijini Dar es Salaam mda huu kwa kudaiwa kuwa ndani ya eneo la reli. Zoezi hilo ambalo limeanza hivi karibuni linaendeshwa na kampuni ya reli Tanzania (TRL) dhidi ya watu walioendeleza ujenzi ndani ya eneo la reli.




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search