SAKATA LA CLOUDS NA MAKONDA: SASA MWAKIEMBE ANENA !!

Asema ripoti ni ya vyombo vya habari, haitoshi yeye kutoa maamuzi !!

Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe. amejibu swali la waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema jana baada ya kuapishwa katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Harrison Mwakiembe.



















Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisema maneno yafuatayo juu ya sakata hilo lililotikisha vichwa vya habari nchini kwa juma moja sasa.


"Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi"- alisema Waziri Mwakyembe


 Source: Picha na Video: kwa msaada wa mitandao mbalimbali.


IGNATURE

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search